Tenzi za Rohoni mpya 161 3.0.1 [free]

Descrição

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.
Tenzi za Rohoni app ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za
dini.
Imba kufuata ala za nyimbo ambazo unaweza kusikiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni
mwenu.
Wakolosai 3:16
FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

versões Antigas

Free Download Baixe por QR Code
  • Nome do Aplicativo: Tenzi za Rohoni mpya 161
  • Categoria: Livros e referências
  • Código App: tz.co.hymns.tenzizarohoni
  • A versão mais: 3.0.1
  • Exigência: 4.4 ou superior
  • Tamanho : 9.41 MB
  • Atualizado: 2023-07-24